Madeleka atwaa fomu ubunge Kivule

DAR ES SALAAM: WAKILI maarufu nchini, Peter Madeleka leo Agosti 24, 2025 amechukua fomu ya uteuzi ya kugombea ubunge wa Jimbo la Kivule lililopo Dar es Salaam.

Wakili Madeleka amechukuwa fomu hiyo kupitia chama cha ACT Wazalendo.
SOMA ZAIDI




