Mahakama Arusha yatengua usimamizi mirathi ya bilionea

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Kanda ya Arusha imetengua wasimamizi wa mirathi ya alitekuwa bilionea Meleu Mrema yenye thamani ya zaidi ya Sh bilioni 18.3 na kumteua mtoto wa marehemu Randle Mrema kuwa msimamizi mali .

Akisoma hukumu hiyo katika shauri dogo namba 170 la mwaka 2022 lililofunguliwa na Randle Mrema pamoja na Lulu Mrema dhidi ya waliokuwa wasimamizi wa mirathi Janeth Kimaro na Viv Mrema ambao pia ni watoto wa marehemu Mrema Jaji Devota Kamzora alisema kuwa mahakama imezingatia sababu zilizotolewa na waleta maombi ikiwa ni pamoja na waliokuwa wasimamizi wa mali kushindwa kukusanya mali na kulipa madeni pamoja na udanganyifu .

Sababu zingine zilizotolewa na waleta maombi ni kujimilikisha mali kwa manufaa binafsi pamoja na kutoelewa majukumu yao na kushindwa kugawa mali kwa wanufaika huku wakifanya udanganyifu kwenye nyaraka kuwa wamegawanya wakati wanaufaika hawana habari.

Marehemu Mrema alifariki Julai 30,2017 na kuacha mali zikiwemo nyumba za kupangisha, mashamba, hoteli,magari, viwanja, hisa kwenye mabenki, fedha tasilimu pamoja na miradi ya maduka ya kubadilishia fedha za kigeni nk.

Katika maamuzi ya jaji Kamzora alisema mahakama imegundua kuwa waliokuwa wasimamizi wa mirathi walishindwa kueleza zilipo fedha za  kodi za majengo zinazolipwa na wapangaji pamoja na hisa za marehemu katika benki ya CRDB katika kipindi cha miaka minne.

Pia Mahakama imebaini kuwa kiasi cha Sh bilioni 1.8 kilichokuwa benki hazijulikani zilipo.

Pia waliokuwa wasimamizi wa mirathi walishindwa kuithibitishia mahakama namna walivyogawa mali za marehemu kwa wanufaika na kulipa madeni licha ya wao kuwasilisha nyaraka zinazoomesha kuwa waligawanya mali za marehemu kwa usawa.

Mahakama ilibaini kuwa licha ya wasimamizi kufunga mirathi lakini bado waliendelea kujinufaisha na mali hizo kwa manufaa yao binafsi.

Katika mwenendo wa shauri hilo Mahakama  ilibaini udanganyifu wa mgawanyo wa mali halisi za marehemu baada ya kughundua mali zingine zenye thamani ya Sh bilioni 15.5 zilikuwa hazijaorodheshwa  .

Katika utetezi wa wajibu maombi kupitia wakili wao George Njooka waliieleza mahakama kuwa walishagawa mali za marehemu kama takwa la sheria linavyosema.

Wakili Njooka alisema kuwa kumekuwepo na ugumu katika familia hiyo kutokana na mgogoro wa kifamilia uliopo na hivyo kusababisha wasimamizi wa mirathi kushindwa kutekeleza majukumu yao vizuri.

Alisema sababu nyingine  iliyosababisha wao kutokamilisha kukusanya na kugawa mirathi ya marehemu kwa wakati ni pamoja na ukubwa wa madeni na kesi zilizokuwa zikiendelea mahakamani kuhusiana na mali za marehemu.

Kabla ya maamuzi hayo wakili Njooka aliieleza mahakama athari zinazoweza kujitokeza iwapo mahakama itabatilishwa uamuzi wa wasimamizi wa mirathi ni pamoja na kutasababisha gharama kubwa pasipo na msingi

Katika maamuzi ya jaji Kamzora alitengua walimamizi waliokuwepo na kumteua Randle Mrema akishirikiana na Lulu Mrema kuwa wa simamizi wa mali za marehemu na kutoa miezi sita kuhakikisha wamwkamilisha kukusanya ,kulipa madeni na kugawa mali za marehemu kwa wanufaika .Hata hivyo mahakama ilisema iwapo kama kuna mali iliuzwa kiuzembe inaweza kufunguliwa mashtaka mahakamani.

Akiongea nje ya mahakama msimamizi wa mirathi aliyeteuliwa na Mahakama, Randle Mrema ambaye ni mtoto wa marehemu, alisema amepokea uamuzi huo kwa furaha lakini anaona ana deni kubwa la kurekebisha yale yote yaliyotarajiwa kufanywa na wasimamizi waliopita .

Alisema amejipanga kukamilisha   kulipa madeni, kufufua biashara zilizokuwa zimekufa ikiwa ni pamoja na hoteli lakini kushirikiana bega kwa bega na wakurugenzi wengine kwenye makampuni ambayo marehemu alikuwa mmiliki.

Habari Zifananazo

Subscribe
Notify of
guest
5 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Bertha
Bertha
2 months ago

I make up to $90 an hour working from my home. My story is that I quit working at Walmart to work online and with a little effort I easily bring in around $40h to $86h… Someone was good to me by sharing this link with me, so now i am hoping i could help someone else out there by sharing this link… 
Try it, you won’t regret it!….. http://Www.Smartcash1.com

Last edited 2 months ago by Bertha
money
money
2 months ago

WIZARA YA NDOTO
HOTUBA YA WIZARA YA NDOTO
ULIMWENGU WA NDOTO
One. DEREVA BODABODA ANA NDOTO YA KUMILIKI KAMPUNI YA NDEGE
Two. MUUZA MBOGAMBOGA ANA NDOTO YA KUMILIKI KIWANDA CHA MBOGA MBOGA
Three. MUUZA VITUNGUU SUMU ANA NDOTO YA KUMILIKI KIWANDA CHA VITUNGUU SUMU
Four. MUUZA NYANYA ANA NDOTO YA KUMILIKI KIWANDA CHA NYANYA
Five. MUUZA MAJI ANA NDOTO YA KUMILIKI KIWANDA CHA NDEGE
Six. MUUZA BAR ANA NDOTO YA KUMILIKI KUJENGA BAR
Seven. MUUZA FREMU ANA NDOTO YA KUMILIKI SHOPPING MALLS
Eight. MGANGA WA KIENYEJI ANA NDOTO YA KUMILIKI HOSPITALI
Nine. MPIGA DEBE ANA NDOTO ZA KUMILIKI KAMPUNI YA MABASI
Ten. MAMA NTILIE ANA NDOTO YA KUMILIKI HOTELS
Eleven. MCHEKESHAJI ANA NDOTO YA KUMILIKI KITUO CHA TELEVISION
Twelve. MTANGAZAJI ANA NDOTO YA KUMILIKI KITUO CHA TELEVISION
Upo sahihi “tukasomeeeeeee tueleweeeeeee Saaaana
Fursa BABA YETU ULIE MBINGUNI NA BWANA YESU ASIFIWE – IMPORT WATU FROM US TO TZ……..
UKIKUTANA NA MZUNGU AKUPE BRIEFCASE YA HELA UTEKELEZE VYOTE MWENYEWE

Capture.JPG

UKIKUTANA NA MZUNGU AKUPE BRIEFCASE YA HELA UTEKELEZE VYOTE MWENYEWE…

Capture1.JPG

file:///C:/Users/User/AppData/Local/Temp/msohtmlclip1/01/clip_image002.jpg

file:///C:/Users/User/AppData/Local/Temp/msohtmlclip1/01/clip_image002.jpg..

Capture1.JPG
Back to top button
5
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x