Mahakama, mawakili Iringa waimarisha uhusiano

UHUSIANO kati ya mawakili na Idara ya Mahakama katika mikoa yaa Iringa na Njombe yameelezwa kuwa mazuri, hali inayochangia kuboresha utoaji wa haki kwa wananchi.
Kwa sasa, hakuna malalamiko ya dharau wala kero kati ya mawakili na mahakama, huku changamoto zinazojitokeza zikiripotiwa na kushughulikiwa kwa haraka na amani.
Mwenyekiti wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Kanda ya Iringa, Wakili Moses Ambindwile amesema mahakama imeendelea kuheshimu mawakili na kuboresha mazingira ya kazi yao, hali inayowapa nafasi ya kutimiza majukumu yao kwa ufanisi zaidi.
Akizungumza kuhusu maendeleo hayo, alisema mahusiano kati ya mawakili na wadau mbalimbali wakiwemo Mahakama, Jeshi la Polisi, Magereza, TAKUKURU na Idara ya Ardhi ni mazuri, na changamoto chache zinazojitokeza zinatatuliwa kwa njia ya mazungumzo ya amani.
Kwa upande wake, Joshua Chusi, wakili wa kujitegemea na Mwenyekiti wa Kamati ya Msaada wa Kisheria Kanda ya Iringa, alisema kamati yao ina jukumu la kusaidia wananchi ambao hawawezi kumudu gharama za kulipia wakili, ili kuwapa nafasi ya kupata haki mbele ya vyombo vya sheria.
“Tunapokea wananchi wenye changamoto hizo na jukumu letu ni kuwahudumia. Hadi sasa, tumeshapokea na tunazishughulikia jumla ya kesi 22 zilizotokana na mpango wa Mama Samia Legal Campaign,” alisema Chusi.
Naye Prosper Luhinda, wakili wa kujitegemea na Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili ya Mawakili Kanda ya Iringa, alieleza kuwa kamati yao inashughulikia masuala ya maadili ya wanasheria, ikiwemo kuhakikisha kuwa si kila mtu anayekwenda mahakamani anajitambulisha kama wakili bila kuwa na sifa stahiki.
“Tumepokea baadhi ya malalamiko dhidi ya mawakili na tumejipanga kuyashughulikia kwa kuhakikisha tasnia inalindwa na wananchi wanapata haki zao bila bugudha,” alisema Luhinda.
Kwa upande mwingine, Desderick Shiwa, Mwenyekiti wa Kamati ya Mafunzo Endelevu kwa Mawakili, alisema kamati yao inalenga kuboresha utendaji wa mawakili kwa kuwaongezea ujuzi na uwezo.
“Tasnia ya sheria ni nyeti sana kwa sababu inahusiana moja kwa moja na haki za watu. Tunataka kila wakili ajitahidi kuboresha ubora wake katika kuwahudumia wananchi,” alisema Shewa.
Kwa ujumla, Wakili Ambindwile alisema jitihada za kamati mbalimbali za mawakili katika Kanda ya Iringa zinaendelea kuimarisha taaluma na heshima ya sekta ya sheria, huku mazingira bora ya kazi yakihamasisha utoaji wa huduma bora zaidi kwa jamii.




заказать роллы недорого спб заказать роллы недорого спб .
заказать роллы недорого спб заказать роллы недорого спб .
bet live wetten
Visit my website … wett tipps basketball nba
österreichische sportwetten gmbh (https://hanssen.no/) live
tipps
wettbasis gratiswetten category
Also visit my webpage :: sport wett; Elizabeth,
que significa Apuestas Campeon nba sistema
las vegas apuestas nba para el
clasico
united kingdom poker deluxe 2, slots ironman lausaarote and instant payout casino uk, or
online bingo usa promotions
Feel free to surf to my page: vip gamblers (Lucia)
Good post. I learn something new and challenging on websites I stumbleupon every day.
It’s always exciting to read through articles from other authors and use a
little something from other web sites.
Review my homepage: parx casino sign up promo code
wett tipps ai kosten
Here is my blog post; sportwetten In österreich
вызов нарколога на дом краснодар вызов нарколога на дом краснодар .
die besten wettseiten
Also visit my web page; Esc wetten öSterreich
капельница от похмелья vyvod-iz-zapoya-na-domu-samara-1.ru .
лечение алкоголизма лечение алкоголизма .
реабилитация алкоголиков vyvod-iz-zapoya-na-domu-samara-1.ru .
вывод из запоя вывод из запоя .
belastingvrije top wedden sites sports [Phillip] sites