Majaliwa akutana na viongozi Wizara ya Ardhi Japan, JAIDA

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amekutana na Waziri wa Ardhi, Miundombinu, Usafirishaji na Utalii wa Japan, Hiromasa Nakano kwenye Makao Mkuu ya Wizara hiyo yaliyopo mji mkuu wa Japan, Tokyo.
Aidha, Majaliwa amefanya mazungumzo na Rais wa Shirikisho la Wawekezaji katika Sekta ya Miundombinu la Japan (JAIDA), Miyamoto Yoichi pamoja na ujumbe wake ambapo wamejadiliana kuhusu masuala mbalimbali ya uwekezaji kwenye sekta za Ardhi, Miundombinu pamoja na Usafirishaji.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button