Majaliwa ashiriki mazishi ya Waziri Mkuu wa zamani Japan

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary leo Septemba 27, 2022 wameshiriki katika mazishi ya kitaifa ya aliyekuwa Waziri Mkuu Waziri Mkuu wa Japan, Shinzo  Abe yaliyofanyika Tokyo nchini Japan.

Wengine walioshiriki katika mazishi hayo ni mke wa Balozi wa Tanzania nchini Japan, Consolata Luvanda, Balozi wa Tanzania nchini Japan, Baraka Luvanda na Naibu Waziri wa  Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk.

Habari Zifananazo

Back to top button