Man United kumuuza Alejandro Garnacho

MIAMBA ya England, Manchester United ipo tayari kumuuza winga, Alejandro Garnacho.

Garnacho mwenye umri wa miaka 20 atahitaji ada kubwa ya uhamisho kuliko winga mwenzake ambaye hatma yake Old Trafford haijulikani, Marcus Rashford, lakini hana mshahara mkubwa kama wa Rashford. (Daily Mail)

Mabingwa Ufaransa, Paris Saint-Germain bado ina nia ya kuinasa Saini ya nyota wa Liverpool, Mohamed Salah, kwa uhamisho huru majira yajayo ya kiangazi, ikimpa ofay a mkataba wa miaka mitatu wenye thamani ya Euro 500,000 kwa wiki. (Romain Collet Gaudin)

Liverpool imejiunga na Manchester United katika mbio za kumsajili beki wa kushoto mwenye uwezo wa kucheza nafasi nyingi wa klabu ya Girona, Miguel Gutiérrez. (CaughtOffside)

Manchester City have registered their interest in Eintracht Frankfurt forward Omar Marmoush

Kwa muda mrefu mwansoka huyo raia wa Misri amekuwa mlengwa wa usajili wa Liverpool na pia anawaniwa na Arsenal, Barcelona, Bayern Munich, PSG, Manchester United na Roma. (Daily Mail)

Habari Zifananazo

Back to top button