Maofisa elimu waagizwa kuandaa kanzidata sahihi

ARUSHA: Maofisa elimu wa mikoa na halmashauri zote nchini wameagizwa kuhakikisha wanakuwa na kanzidata sahihi katika kila halmashauri ili kuiwezesha serikali kupanga kwa ufanisi rasilimali watu, madarasa na vifaa mbalimbali vya shule.

Lengo ni kuondoa changamoto ya upungufu wa miundombinu ifikapo mwaka 2028, wakati wanafunzi wa darasa la sita na la saba watakapohitimu kwa pamoja.

Aidha, Wakuu wa mikoa wote nchini wameagizwa kuzisimamia halmashauri zao kuhakikisha zinaweka siku maalum ya kusikiliza malalamiko na kero za wananchi katika ngazi ya kata, ili kurahisisha upatikanaji wa huduma na kupatikana kwa ufumbuzi wa changamoto zinazowakabili wananchi katika ngazi ya chini.

Maagizo hayo yametolewa jijini Arusha na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Riziki Shemdoe, wakati akifungua kikao cha Umoja wa Maofisa Elimu wa Mikoa na Halmashauri (REDEOA).

Amesema ili serikali isiweze kukumbwa na changamoto ya uhaba wa madarasa, matundu ya vyoo na vifaa vingine muhimu, ni lazima maofisa hao waandae kanzidata sahihi zitakazosaidia mipango madhubuti kwa ajili ya wanafunzi watakaohitimu darasa la sita na la saba kwa pamoja mwaka 2028.

“Hatutaki kusikia mwaka 2028 watoto wanashindwa kuendelea na masomo kwa sababu ya ukosefu wa madarasa, vyoo au huduma nyingine muhimu,hakikisheni mnatoa taarifa sahihi zitakazoiwezesha serikali kujipanga vizuri,vilevile, wakuu wa mikoa simamieni wakurugenzi wasikilize kero za wananchi katika kila kata, mkiona wananchi wanalalamika wakati wa ziara za viongozi, mjue kero zao hazikusikilizwa kwa wakati,”

Profesa Shemdoe amesisitiza umuhimu wa wakurugenzi wa halmashauri pamoja na Timu za Usimamizi wa Halmashauri (CMT) kuwa karibu na wananchi na kushughulikia changamoto zao mapema, badala ya kusubiri zibainike wakati wa ziara za viongozi wa kitaifa.

Habari Zifananazo

5 Comments

  1. ### 📢 TANGAZO LA AJIRA – WHARIRI (3223)

    Kampuni ya Waja iliyopo Dar es Salaam inatangaza nafasi ya **Whariri (Na. 3223)** kwa ajili ya kuhariri kitabu cha kumbukumbu kiitwacho:

    **“Ukumbuke Waliotangulia Mbele za Haki au Waliopo”**

    Kitabu hiki kinahusu kumbukumbu za marehemu pamoja na watu walio hai, kwa lengo la kuhifadhi historia na mchango wao katika jamii.

    ### ✅ Majukumu ya Kazi:

    * Kuhariri na kusahihisha maandishi kwa Kiswahili fasaha.
    * Kuboresha mtiririko na mpangilio wa maudhui ya kitabu.
    * Kuhakikisha usahihi wa taarifa na ubora wa kazi kwa ujumla.
    * Kushirikiana na mwandishi na wachapishaji hadi kukamilika kwa kazi.

    ### ✅ Sifa za Mwombaji:

    * Awe na Shahada ya Lugha ya Kiswahili, Uandishi wa Habari, Fasihi au taaluma inayohusiana.
    * Awe na uzoefu wa kuhariri vitabu au machapisho.
    * Awe makini, mwadilifu na mwenye uwezo wa kufanya kazi kwa muda uliopangwa.
    * Uwezo mzuri wa mawasiliano na ushirikiano.

    ### 📩 Jinsi ya Kutuma Maombi:

    Waombaji watume barua ya maombi pamoja na wasifu (CV) kwa ofisi za kampuni zilizopo Dar es Salaam au kupitia mawasiliano rasmi ya kampuni.

    Kwa maelezo zaidi, wasiliana na ofisi za Kampuni ya Waja.

    1. I get paid over (90$ to 200$ / hour ) working from home with 2 kids at home. I never thought I would be able to do it but my best friend earns over $18000 a month doing this and she convinced me to try. it was all true and has totally changed my life… This is what I do, check it out by Visiting Following web….
      .
      HERE——————————————⊃⫸ https://Www.Cash54.Com

    2. I get paid over 220 Dollars per hour working from home with 2 kids at home. i never thought i’d be able to do it but my best friend earns over 15k a month doing this and she convinced me to try. it was all true and has totally changed my life. This is what I do, check it out by Visiting Following Website…

      .
      M­­­­­­o­­­­­­r­­­­­­e­ D­­­­­­e­­­­­­t­­­­­­a­­­­­­i­­­­­­l­­­­­­s For Us→→→→→→→→→ https://Www.Payathome9.Com

  2. ### 📢 TANGAZO LA AJIRA – WHARIRI (3223)

    Kampuni ya Waja iliyopo Dar es Salaam inatangaza nafasi ya **Whariri (Na. 3223)** kwa ajili ya kuhariri kitabu cha kumbukumbu kiitwacho:

    **“Ukumbuke Waliotangulia Mbele za Haki au Waliopo”**

    Kitabu hiki kinahusu kumbukumbu za marehemu pamoja na watu walio hai, kwa lengo la kuhifadhi historia na mchango wao katika jamii.

    ### ✅ Majukumu ya Kazi:

    * Kuhariri na kusahihisha maandishi kwa Kiswahili fasaha.
    * Kuboresha mtiririko na mpangilio wa maudhui ya kitabu.
    * Kuhakikisha usahihi wa taarifa na ubora wa kazi kwa ujumla.
    * Kushirikiana na mwandishi na wachapishaji hadi kukamilika kwa kazi.

    ### ✅ Sifa za Mwombaji:

    * Awe na Shahada ya Lugha ya Kiswahili, Uandishi wa Habari, Fasihi au taaluma inayohusiana.
    * Awe na uzoefu wa kuhariri vitabu au machapisho.
    * Awe makini, mwadilifu na mwenye uwezo wa kufanya kazi kwa muda uliopangwa.
    * Uwezo mzuri wa mawasiliano na ushirikiano.

    ### 📩 Jinsi ya Kutuma Maombi:

    Waombaji watume barua ya maombi pamoja na wasifu (CV) kwa ofisi za kampuni zilizopo Dar es Salaam au kupitia mawasiliano rasmi ya kampuni.

    Kwa maelezo zaidi, wasiliana na ofisi za Kampuni ya Waja..

  3. ### 📢 TANGAZO LA AJIRA – WHARIRI (3223)

    — .

    Kwa maelezo zaidi, wasiliana na ofisi za Kampuni ya Waja.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button