Mapumziko Stars 0 Niger 0

MCHEZO wa kuwania kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika kati ya Tanzania ‘Taifa Stars na Niger Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam ni mapumziko, matokeo yakiwa ni 0-0.