Matukio Morocco v Stars

MOROCCO; TIMU ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imepoteza kwa mabao 2-0  dhidi ya Morocco mchezo wa  kufuzu Kombe la Dunia 2026 usiku wa kuamkia leo kwenye Uwanja wa Honneir, Oudja, Morocco. (Picha zote kwa hisani ya TFF).

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button