DAR ES SALAAM; Kiungo mshambuliaji wa Simba, Jean Ahoua, akipiga mkwaju wa penalti uliipa timu hiyo ushindi wa bao 1-0 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara Uwanja wa KMC, Kindondoni Dar es Salaam. Picha nyingine mpira ukiwa tayari umeingia langoni, huku kipa wa JKT akiwa hana la kufanya. (Picha kwa hisani ya Simba).