Matukio ya kukumbukwa Yanga v MC Alger

DAR ES SALAAM; YANGA ya Dar es Salaam jana iliumana na MC Alger ya Algeria mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika uliofanyika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.

 

Mchezo huo wa mwisho hatua ya makundi ulimalizika kwa timu hizo kutoka 0-0, hivyo kuifanya MC Alger kusonga mbele hatua ya Robo Fainali, huku Yanga ikishindwa kufuzu hatua hiyo.

Habari Zifananazo

Back to top button