Mbeumo mchezaji bora EPL Oktoba

KIUNGO mshambuliaji wa miamba ya soka, Manchester United, Bryan Mbeumo ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa Ligi ya Kuu England (EPL) kwa mwezi Oktoba.

Sambamba na Mbeumo, kocha wa mashetani hao wekundu, Ruben Amorim ameshinda tuzo ya kocha bora kwa mwezi huo.

SOM: EPL: United vs Fulham siku nyingine ya lawama

Manchester United ipo nafasi ya nane katika msimamo wa EPL ikiwa na pointi 17 baada ya michezo 10

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button