SMZ kuipiga tafu makachu

ZANZIBAR : RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk, Hussein Ali Mwinyi akizungumza leo tarehe 24 Oktoba 2024 alipofika Bustani ya Forodhani Kuangalia Mchezo wa Makachu ambao umekuwa maarufu na kuvutia wenyeji na wageni wengi wanaokuja nchini.






