Mechi ligi 5 bora Ulaya zaendelea leo

Sehemu ya wachezaji wa Manchester United wakifanya mazoezi kuelekea mchezo dhidi ya Brentford leo

MECHI za Ligi Kuu tano bora barani Ulaya zinaendelea leo baada ya kusimama kupisha michezo ya kimataifa nyingine zikiwa zimerejea Oktoba 18.

Liverpool inaongoza Ligi Kuu England, Barcelona wakiwa vinara katika LaLiga ya Hispania huku Bayern Munich wakiwa kwenye baridi Bundesliga, Ujerumani.

SOMA: Dortmund mwamba unaotamba pande zote

Advertisement

Vijana na Naples, Napoli wao ndio vinara wa Serie A huko Italia wakati AS Monaco wanaongoza Ligi Kuu Ufaransa, Ligue 1.

Zifuatazo ni mechi zinazopigwa leo katika ligi hizo:

PREMIER LEAGUE:
Tottenham Hotspur vs West Ham United
Fulham vs Aston Villa
Ipswich Town vs Everton
Manchester United vs Brentford
Newcastle United vs Brighton
Southampton vs Leicester City
Bournemouth vs Arsenal

LALIGA
Athletic Club vs Espanyol
Osasuna vs Real Betis
Girona vs Real Sociedad
Celta Vigo vs Real Madrid

BUNDESLIGA
Bayer Leverkusen vs Eintracht Frankfurt
Borussia M’gladbach vs FC Heidenheim
Hoffenheim vs VfL Bochum
Mainz 05 vs RB Leipzig
Bayern Munich vs VfB Stuttgart

SERIE A
Como 1907 vs Parma
Genoa vs Bologna
AC Milan vs Udinese
Juventus vs Lazio

LIGUE 1
Brest vs Rennes
Saint-Etienne vs Lens
Paris Saint-Germain vs Strasbourg