Mechi Simba vs Al-Masry kupigwa kwa Mkapa

PWANI: MECHI ya robo fainali Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Simba na Al-Masry huenda ikapigwa uwanja wa Benjamini Mkapa mara baada ya maboresho yaliyoagizwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) kukamilika.

Soma zaidi: Msigwa ahimiza ubunifu TSN

Katibu Mkuu Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo na Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa ametoa taarifa hiyo wakati akizungumza na waandishi wa habari kutoka Bandari Kavu ya Kwala, mkoani Pwani leo Machi 16, 2025.

“Uwanja upo tayari, wakaguzi wanakuja tarehe 20, sisi tumewaomba waje hata kabla ya hapo watakuja wauone uwanja uko tayari, pitch nzuri kabisa,” amesema Msigwa.

Soma zaidi: UTEUZI: Msigwa arejea msemaji mkuu wa serikali

Habari Zifananazo

One Comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button