LIBYA: MAMLAKA ya Libya imegundua miili 50 iliyokuwa imezikwa kwa pamoja kwenye makaburi mawili katika Jangwa la Kusini upande wa mashariki mwa nchi hiyo.
Mkasa huo wa Libya ni wa hivi karibuni unaohusisha watu wanaotaka kufika barani Ulaya kupitia kwenye nchi hiyo ya Afrika Kaskazini inayokumbwa na machafuko.
Idara ya usalama imesema kaburi la kwanza lilikuwa na miili 19 katika shamba moja kusini mashariki mwa mji wa Kufra, na kwamba maiti hizo zimechukuliwa kwaajili ya kufanyiwa uchunguzi kuweza kuwabaini watu hao waliokufa.
Shirika la Hisani la Al-Abreen, ambalo huwasaidia wahamiaji Mashariki na Kusini mwa Libya, limesema maiti za watu wengine zinaonesha waliuawa kwa kupigwa risasi kabla ya kuzikwa kwenye kaburi la pamoja.
Makundi ya kutetea haki za binadamu na mashirika ya Umoja wa Mataifa kwa miaka kadhaa yamekuwa yakiratibu na kuhifadhi kumbukumbu kuhusu unyanyasaji wa wahamiaji nchini Libya ikiwa ni pamoja na kazi za kulazimishwa, kupigwa, kubakwa na mateso mengine. Wahanga ni wahamiaji wanaokata kwenda Ulaya kutafuta maisha bora.
Thanks , I have recently been searching for information about this topic for
a long time and yours is the greatest I have discovered so far.
But, what in regards to the bottom line? Are you positive about the source?
buy viagra online
payday loan
penis enlargement
penis enlargement