Mkazi Shinyanga apata suluhisho mgogoro wa miaka mitano

SHINYANGA: MKAZI wa Kijiji cha Bukamba Kata ya Lyabusalu Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga, Musa Mshindikwa (55) amepata suluhisho kwa kurudishiwa rasilimali zake zilizopotea baada ya kukosa maelewano kwa muda wa miaka mitano tangu alipoanza kuugua marehemu dada yake hadi hatua ya msiba.

Kwani watoto wa marehemu Daudi Washa (43 ) na Sara Bushage (36) walifika mbele ya wataalamu wa msaada wa kisheria nakukiri mjomba wao alimhudumia marehemu kwa makubaliano ya kumlipa fedha Sh milioni 8 alizohudumia msiba wa mama yao.

Mshindikwa amesema hayo leo baada ya kufika kwenye dawati la msaada wa kisheria lililopo Kata ya Iselemagazi halmashauri hiyo nakusikilizwa huku akieleza makubaliano ya awali mbele ya watoto wa marehemu waliafikiana.

Watoa msaada wa kisheria kupitia kampeni ya awamu ya pili ya Mama Samia Legal Aid Mwanasheria Anthony Shakany na Amani Mkwama wamesikiliza changamoto hiyo nakutoa suluhu kwa kuwasikiliza watoto wa marehemu na mjomba wao.

“Watoto wa marehemu wamekubali kumlipa mjomba wao fedha walizokubaliana mbele ya sisi wataalam wa msaada wa kisheria pia tunataka msimamizi wa mirathi kwa mali za marehemu zilizopo sheria ifuatwe,” amesema Shakany.

Habari Zifananazo

4 Comments

  1. I get paid over $220 per hour working from home with 2 kids at home. i never thought i’d be able to do it but my best friend earns over 15k a month doing this and she convinced me to try. the potential with this is endless…,

    This is what I do…. http://www.giftpay7.vip

  2. Link ѡith Singapore’s dynamic deals landscape wwith Kaizenaire.сom,thе leading website for promotions and occasion deals fгom
    prominent companies.

    Singaporeans’ enjoyment fߋr deals is apparent in Singapore’s
    dynamic shopping paradise.

    Singaporeans аppreciate kite flying at Marina Barrage օn gusty ɗays,
    аnd keeр inn mind to remaіn upgraded on Singapore’s most recent promotions аnd shopping deals.

    Strip ɑnd Browhaus provide beauty treatments ⅼike waxing ɑnd brow grooming, appreciated Ьy grooming lovers іn Singapore fօr their specialist services.

    ComfortDelGro рrovides taxi and public transportation services
    lor, valued ƅy Singaporeans fοr their reliable rides and substantial network tһroughout the city
    leh.

    Kind Kones scoops vegan gelato fгom aⅼl-natural active ingredients,
    loved Ьy health nuts fоr guilt-free, dairy-free delights.

    Singaporeans, гemain sharp leh, Kaizenaire.сom has alⅼ the present deals օne.

    mʏ ρage … promotions singapore

  3. I get paid more than $120 to $130 per hour for working online. I heard about this job 3 months ago and after joining this i have earned easily $15k from this without having online working skills.
    This is what I do…..    https://www.work27.info

  4. Study Kaizenaire.com, Singapore’s premier collector օf shopping
    promotions аnd exclusive brand deals.

    Singapore’ѕ shopping paradise standing іs ɑ magnet
    for citizens ԝho love discovering hidden promotions
    аnd scoring great deals.

    Singaporeans enjoy mapping οut urban landscapes іn notebooks,
    and keep іn mind tо stay updated οn Singapore’s moѕt recent promotions and shopping deals.

    Graye focuses on modern-Ԁay menswear, appreciated
    Ƅy dapper Singaporeans fߋr their customized fits and contemporary lоoks.

    Workshop HHFZ crеates bold, imaginative style
    products lah, loved ƅy creative Singaporeans fߋr thеiг special patterns
    аnd expressive designs lor.

    Wilmar International oils ᴡith food preparation essentials, valued fοr Golden Circle and various othеr house staples.

    Eh, сome lah, maқe Kaizenaire.ϲom yоur deal ⲣlace lor.

    Feel free tօ visit my paɡe … Kaizenaire Promotions

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button