Mkonge kuuzwa soko la utalii Zanzibar

TANGA: Katika mwendelezo wa kuhamasisha matumizi ya bidhaa za mkonge nchini, Bodi ya Mkonge Tanzania (TSB), imedhamiria kulifanya zao hilo kuwa zao la kitalii ambapo inatarajia kuingiza bidhaa zinazotokana na zao hilo katika Soko la kitalii kupitia vijana kutoka visiwani Zanzibar.
Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi Mkuu wa TSB, Saddy Kambona alipokuwa akizungumza wakati wa kuhitimisha mafunzo maalumu kwa vijana kutoka katika Chuo cha mafunzo Zanzibar na Wanachama wa klabu ya mkonge ya shule ya sekondari Coastal Tanga kuhusu sekta ya mkonge.
Aidha, wamehitimisha mafunzo ya ndani ya kujadiliana juu ya fursa mbalimbali zinazotokana na mkonge ambazo Wazanzibar wanaweza wakazitumia ambapo lengo ni kuhakikisha wanamsaidia Rais Dk. Samia Suluhu Hassan katika kuondoa changamoto ya ajira hususani kwa vijana na kina mama.
“Kwa kuwa Zanzibar ni ardhi ya karafuu si rahisi kulima mkonge hivyo tunaweza tukatumia mkonge kutoka Tanzania Bara kwa kutumia soko la utalii la Zanzibar kuzalisha bidhaa mbalimbali.
Pamoja na mambo mengine, amesema kwa sasa bodi imeona inaweza kuwapelekea bidhaa za mkonge huko huko Zanzibar ili watumie zao hilo badala ya makumbi ya nazi ambayo wanayatumia sasa.

Habari Zifananazo

Subscribe
Notify of
guest
4 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Work AT Home
Work AT Home
1 month ago

I’ve earned $17,910 this month by working online from home. I work only six hours a day despite being a full-time college student. Everyone is capable of carrying out this work from their homes and learning it in spare time on a continuous basis.

To learn more, see this article———>>> http://Www.Smartcash1.com

Last edited 1 month ago by Work AT Home
KimmieJules
KimmieJules
1 month ago

★They pay me $285 per hour to work on a laptop. ( e00q) I had no clue it was possible, but a close friend made $26,000 in four weeks working on this simple offer, and she convinced me to try it. For further information, please see.
Click and Copy Here══════►►► http://Www.SmartCareer1.com

Tressautcherson
Tressautcherson
1 month ago

I’ve gained only within four weeks by comfortably working part-time from home. Immediately when I had lost my last business, mtg I was very troubled and thankfully
following website___________ http://Www.Careers12.com

Last edited 1 month ago by Tressautcherson
Royal
1 month ago

I’m making $90 an hour working from home. i was greatly surprised at the same time as my neighbour advised me she changed into averaging $100 however I see the way it works now. I experience mass freedom now that I’m my non-public boss. Everybody must try this job now by just using this website……. http://Www.SmartCash1.com

Last edited 1 month ago by Royal
Back to top button
4
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x