Mnangagwa ashinda tena uchaguzi Zimbambwe

TUME ya Uchaguzi nchini Zimbabwe (ZEC) imemtangaza Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa kutoka chama cha ZANU-PF kuwa mshindi katika Uchaguzi Mkuu kwa asilimia 52.6 ya kura zote.

Akisoma matokeo ya uchaguzi mkuu Mwenyekiti wa ZEC, Justice Chigumba amesema Mnangagwa alipata zaidi ya kura milioni 2.3 ilhali mpinzani ambaye ni mgombea wa Chama cha Wananchi (CCC) Nelson Chamisa, alipata zaidi ya kura milioni 1.9 ambayo ni sawa na asilimia 44 ya kura zote.

Akizungumzia kuhusu matokeo hayo Rais Mnangagwa amewashukuru wote walioshiriki katika uchaguzi huo na kusema hakuna aliyeshindwa wala aliyeshinda isipokuwa lengo la pamoja ni kujenga taifa imara la Zimbabwe

“Tutabaki milele kuwa watu wa umoja, wapenda amani na wastahimilivu, kutoka Zambezi hadi Limpopo, Plumtree hadi Mutare, tukiimba kwa fahari wimbo mmoja wa taifa, chini ya bendera moja ya taifa. Naomba nitoe pongezi kwa makanisa yetu yote kwa kuendeleza amani na utangamano” Amenukuliwa Mnangagwa.

Hii ni awamu ya pili kwa Mnangagwa maarufu ‘The crocodile’ kushika nafasi hiyo ambapo kwa mara ya kwanza aliingia madarakani 2017 kufuatia vuguvugu la sias lililomuengua aliyekuwa Rais na baba wa taifa hilo hayati Robert Mugabe.

Habari Zifananazo

Subscribe
Notify of
guest
5 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
AnglinaKevin
AnglinaKevin
29 days ago

Leo hii, huu mchakato wa Katiba tuliosifiwa nao hakuna chochote kinachofanyika, tunaona watu wameshaanza maneno maneno kuhusu ukomo wa urais(ukomo wa MAFUNDI KUJENGA NYUMBA BILA MPANGILIO MAALUMU), na pia kwenye Mahakama ya Afrika tayari tumeshajitoa,

MWANAMKE NI MALI YA FUNDI = TUSUMBUE JAMAA HAELEWI FAMILIA YANGU YA KI.KING INAKUUNGA MKONO

MAPINDUZI.JPG
juliya
juliya
Reply to  AnglinaKevin
29 days ago

earn 200 dollars per hour working from home on an online job. 9t9 I never thought I could accomplish it, but my best friend makes $10,000 per month doing this profession and that I learn more about it.

CLICK HERE ——————-> http://www.Smartwork1.com

Last edited 29 days ago by juliya
AnglinaKevin
AnglinaKevin
29 days ago

KAMATI YA LAAC YARIDHISHWA MRADI WA KITEGA UCHUMI cha WAGANGA WA KIENYEJI WA BIL. 67 JIJI LA DODOMA

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) imeridhishwa na ujenzi wa Jengo la Kitega Uchumi CHINANGALI kwa shilingi bilioni 67 lililojengwa kwa lengo la kuongeza mapato ya ndani ya WAGANGA WA KIENYEJI TANZANIA.

MapinduziI.JPG
watch pictures
watch pictures
29 days ago

WAHI FURSA YA MASHINDANO SASA…. Kombe la Mipango

file:///C:/Users/User/AppData/Local/Temp/msohtmlclip1/01/clip_image002.jpg

CHOKORAAAAAA

Vs

MAKAO YA TAIFA YA MALEZI NA MAKUZI YA WATOTO YALIYOJENGWA KATIKA KATA YA KIKOMBO, JIJINI DODOMA

MAPINDUZI.JPG
mariamkweka1997@gmail.com
mariamkweka1997@gmail.com
28 days ago

Rasimu Na. 1

WBLM NA. …… WA MWAKA 2020/20

MUHTASARI WA WARAKA

KICHWA CHA WARAKA

Mapendekezo ya Kutunga Sheria ya kuanzisha Wakala wa Carrot Tanzania 2020. (The Institutional Establishment Act, 2011).

WAZIRI ANAYEWASILISHA Waziri wa Viwanda na Biashara.

MUHTASARI WA MAPENDEKEZO Baraza la Mawaziri litoe maamuzi ya msingi ya kuanzisha Wakala wa Carrot Tanzania ya Mwaka 2020.

CHIMBUKO LA WARAKA Changamoto zilizojitokeza katika kusimamia kilimo cha Carrot Tanzania kwa mujibu wa Sheria ya Uwekezaji nchini.

MAMBO MUHIMU YATAKAYOZINGATIWA Kuongeza viwango vya usimamiaji (management) katika shughuli za za uzalishaji wa Carrot nchini na kupunguza uwezekano wa kutokea tatizo la Njaa nchini; Kubadilisha Mamlaka ya utoaji vibali na leseni za mashamba yatakayotumika kuzarisha zao hilo kutoka Wizara ya Viwanda na Biashara; Kuweka utaratibu wa usimamizi wa Kemikali zinazotumika kama malighafi katika uzalishaji wa zao hilo; Kuweka utaratibu wa kuwarasimisha kwa kuwaunganisha na kutoa ajira za kudumu kwa wakulima na wazalishaji wa Carrot kwa kushirikisha mapendekezo ya Kamati za Ulinzi na Usalama za Wilaya na Mikoa; Kuwepo kwa utaratibu wa fidia kwa wananchi watakaothibitika kupata madhara yatokanayo na mahitaji ya shughuli za uzalishaji wa zao hilo; na Kuweka utaratibu utakaoanzisha mfumo wa ki – elektroniki wa kuhifadhi takwimu za uzalishaji wa zao hilo nchini.

MATOKEO YA SHERIA Kupungua au kudhibiti matumizi haramu ya ardhi katika uzalishaji wa zao hilo pamoja na vifaa vyake ikiwemo tractors; Kupunguza gharama za uzalishaji wa kilimo cha Carrot nchini, kupunguza gharama za bei ya bidhaa nchini, Kuimarika kwa usalama katika utunzaji, umilikaji, usafirishaji, ununuzi, uuzaji na utumiaji wa Carrot nchini; Kuongezeka kwa mapato ya Serikali yatokanayo na shughuli za uzalishaji wa Carrot; kuhamasisha shughuliza uhifadhi, elimu, kupack na masoko bidhaa ya bidhaa hiyo na kuwepo kwa mfumo rasmi wa ukusanyaji na utunzaji wa takwimu za uzalishaji wa Carrot

MAHITAJI YA RASILIMALI Jumla ya Shilingi 60,924,500 fedha za ndani na shilingi 70,000,000 fedha za nje zimetengwa katika Bajeti ya Wizara ya Viwanda na Biashara ya Mwaka 2020/21 kwa ajili ya uanzishawaji wa wakala kwa ajili ya Mishahara, elimu pamoja na majukumu mengine ya Wizara.

USHIRIKISHWAJI WA WADAU Wakati wa kuandaa Waraka, maoni ya wadau mbalimbali yamepatikana kutoka: Wizara za nchi Ofisi ya Rais, (Tamisemi, Utumishi na Utawala Bora); Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira; Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu; Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Wizara ya Katiba na Sheria; Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali; Wizara ya Fedha na Mipango; Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi; Wizara ya Mifugo na Uvuvi;na Wakulima wadogo wadogo wa Carrot ambao wataajiliwa na Wakala

RATIBA YA UTEKELEZAJIBaada ya Waraka huu kukubaliwa, Rasimu ya Sheria husika itaandaliwa Mwezi Januari, 2021 na kuwasilishwa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa ajili ya kuandaa muswada.

W-M A.J.M.K.

XXXXXXXXXXX

hapa naona kama marais wote hawakupoteza muda

jk – kilimo uti wa mgongo (wakasahau bar, kilabu, ugonjwa, nyumba nao ulikuwa uti wa mgongo kwa wengine)

mwinyi (ruksa fanya utakavyo ili tujue uti wa mgongo wako)

mkapa (kuplant those inspiration)

jakaya (kilimo kwanza full kununua matrector labda saizi yatakuwa kama VX full services kila week)

magufuli (hapa kazi tu labda watategeneza kazi)

ajaye baibai kwa sabau ya steel mnaharibu

XXXXXXX

Capture.JPG
Back to top button
5
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x