Mtaro usafishwe kuepuka mafuriko

Mwonekano wa mtaro wa majitaka ambao unatiririsha maji kupitia Soko Kuu Majengo mkoani Dodoma ambao unahitaji kusafishwa ili kuwezesha kupitisha maji kwa urahisi na kuepuka mafuriko. (Picha na Fadhili Akida).