VIWANJA saba vitakuwa kwenye patashika leo wakati nchi 14 zitakapoonesha kazi kufuzu Michuano ya Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani(CHAN 2025).
Mitanange hiyo ni kama ifyatavyo:
Burkina Faso vs Ivory Coast
Cameroon vs Central African Republic
Guinea-Bissau vs Guinea
Nigeria vs Ghana
Rwanda vs South Sudan
Angola vs Lesotho
Senegal vs Liberia