MSANII wa muziki wa singeli nchini Hemed Salim maarufu Tamimu amesema muziki wa ‘live’ unasaidia sana kugundua vipajo vya wasanii tofauti na kufuatisha wimbo kwenye CD.
Tamimu amesema muziki wa ‘live’ unampa msanii uhuru wa kuimba kadri anavyoweza kwa kuwa hakuna kinachombana anapokiwa jukwaani.
“Ingekuwa kuna ulazima matamasha mengi yangetumia muziki wa live ili kuwatenganisha wasanii kwa uwezo wao wa kuimba na kutumia jukwaa tofauti na ilivyosasa wengi wanatembelea nyokuwapima wasanii wenye uwezo mkubwa wa kuimba.
‘Muziki wetu unakua hivyo matamasha mengi shoo nyingi duniani zikiwemo za ufinguzi wa michezo mbalimbali zote msanii ukihalikwa unaimba live sasa kama bado hatushiriki matamasha ha live tusifikilie kuhalikwa katika matamasha makubwa ama kwenye ufunguzi wa shughuli mbalimbali duniani.
“Muziki mzuri ni muziki wanlive wasanii wasiogope kuimba live wajifunze kuimba na bendi sababu muziki wetu unakia na tunatakiwa tupate mihaliko mikubwa sasa kama tunaogopa kuimba live hatutaweza kukuza muziki wetu nasi kujiongezea kipato.