Mwigizaji Gambon afariki dunia
MWIGIZAJI Michael Gambon kutoka Uingereza amefariki dunia akiwa hospitalini, taarifa ya familia imeeleza.
–
Gambon,82, filamu kadhaa za Harry Potter.
Gambon alianza kazi yake ya uigizaji zaidi ya miaka 60 iliyopita, na alikuwa mmoja wa washiriki wa awali wa ukumbi wa kitaifa wa Royal pamoja na Laurence Olivier.
–
Alicheza pia kama mpelelezi wa Ufaransa Jules Maigret katika kipindi cha Maigret cha ITV, na vile vile akiigiza katika safu ya BBC, The Singing Detective.



