Mzize atwaa Tuzo ya Goli Bora la Mwaka CAF
MOROCCO; MSHAMBULIAJI wa Yanga ya Dar es Salaam, Clement Mzize ametwaa Tuzo ya Goli Bora la Mwaka inayotolewa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) katika hafla iliyofanyika nchini Morocco usiku huu.



