Naibu Waziri Mkuu mpya hadharani, Samia akitangaza mabadiliko serikalini

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemuhamisha aliyekuwa Waziri wa Nishati, Januari Makamba kutoka wizara hiyo na kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.
Taarifa iliyotolewa leo kutoka Ikulu imeeleza Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Nje ni Stephen Byabato ambaye hapo awali alikuwa ni Naibu Waziri wa Nishati.
Aidha Rais Samia amemhamisha Balozi Pindi Chana kutoka kuwa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo na kuwa Waziri wa Katiba na Sheria.
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Doto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu na Wizara ya Nishati. Awali alikuwa Waziri wa Madini.
Katika taarifa hiyo iliyosainiwa na Katibu Mkuu Kiongozi Ikulu, Dk Moses Kasiluka imeeleza Rais Samia amemteua Anthony Mavunde kuwa Waziri wa Madini, awali alikuwa Naibu Waziri wa Kilimo.
Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Jerry Silaa ameteuliwa kuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba, Maendeleo ya Makazi.
Makame Mbarawa ameteuliwa kuwa Waziri wa Uchukuzi, awali alikuwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi.
Rais Samia pia amemuhamisha Waziri Innocent Bashungwa kutoka kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa na kuwa Waziri wa Ujenzi.
Stergomena Tax amehamishwa kutoka kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.
Aidha, Mohammed Mchengerwa amehamishwa kutoka kuwa Wizara ya Maliasili na Utalii na kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-Tamisemi.
Soma zaidi kupitia taarifa ya Ikulu…..
Baada ya uteuzi wa Waziri mpya, Wizara ya Viwanda na Biashara imeanzisha utaratibu wa kuanzishwa kwa Wakala wa Shopping Malls Tanzania na kwa kuwa nchi iliyopata maendeleo fedha haina thamani haya ndiyo makujuku ya wakala huo:
1: Kujenga na kurasimisha shopping malls zilizopo kwa utaratibu uliopo kwa kila Wilaya.
2: Kuajiri watumishi wa kila Shopping Malls na kuwahudumia kwa mujibu wa utaratibu/kanuni zilizopo.
3: Kusimamia ununuzi wa bidhaa na kupata takwimu za manunuzi ya bidhaaa mbalimbali kwa mujibu wa miongozo.
4: Kushauri Wizara katika uratibu wa manunuzi na usimamizi wa mahitaji ya shopping malls nchini.
5: Kushauri mbinu mbalimbali za uongezaji dhamani wa bidhaa mbalimbali ikiwemo vifungashio vya bidhaa.
6: Kushiriki kikamilifu katika shughuli za mipango miji kwa kutoa ushauri wapi zijengwe ili kuongeza thamani ya miji na sekta ya usafirishaji.
7: Kutoa ushauri kwa Wizara ya Viwanda na Biashara ya namna bora ya kuondokana na bidhaa feki pamoja na kushauri taasisi nyingine za kuthibiti bidhaa ili kuharibu bidhaa husika.
Tag kuongeza watu wa kupanda ndege, reli na kupunguza utitiri wa majengo yasiyotumika.
Private sector ni maamuzi au HELA/Fedha
*Wizara ni private sector kwenye maamuzi
*CAG ni private sector kwenye maamuzi
KWA NINI UPO KWENYE DUKA PEKE YAKO!? UKO PEKEYAKO

KWA NINI UPO KWENYE DUKA PEKE YAKO!? UKO PEKEYAKO..
Baada ya uteuzi wa Waziri mpya, Wizara ya Viwanda na Biashara imeanzisha utaratibu wa kuanzishwa kwa Wakala wa Shopping Malls Tanzania na kwa kuwa nchi iliyopata maendeleo fedha haina thamani haya ndiyo makujuku ya wakala huo:-