Nkoronko atwaa fomu ubunge Sumbawanga Mjini

SUMBAWANGA: MJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Mbonimpaye Ntiyonza Nkoronko amechukua rasmi fomu ya kugombea ubunge Jimbo la Sumbawanga Mjini kupitia chama hicho.
Awali akitia nia ya kuchukua fomu ya kugombea nafasi hiyo, Nkoronko alisema amefikia hatua hiyo baada ya kutambua hatma ya dunia ipo mikononi mwa vijana.
SOMA ZAIDI