Omondi kujitosa kwenye siasa

KENYA: MCHEKESHAJI na mwanaharakati, Eric Omondi kutoka Kenya amepanga kujitosa kwenye siasa.
Imeelezwa kuwa huenda Omondi akagombea ubunge wa jimbo la Lang’ata katika uchaguzi mkuu ujao wa mwaka 2027.  Omondi ameuita uamuzi huo kuwa “Ni Sauti ya Mungu”.
Omondi ameeleza nia hiyo imekuja baada uungwaji mkono mkubwa kutokana na shughuli zake za kijamii anazoziendesha na umaarufu wake ulisababisha wakazi wa Lang’ata kumkaribisha jimboni.
Omondi atakabiliwa na upinzani mkubwa kutoka kwa mtangazaji wa zamani na mbunge wa sasa wa jimbo hilo, Phelix Odiwour maarufu Jalang’o.

Habari Zifananazo

4 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Back to top button