Picha: Karibu Rais Nyusi

DAR ES SALAAM; Rais Samia Suluhu Hassan akisalimiana na mgeni wake Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam leo Julai 2, 2024.