PICHA: Rais wa Samia Suluhu Hassan akiwajulia hali na kuwapa pole majeruhi wa ajali ya kuporomoka kwa ghorofa Kariakoo ambao wamelazwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI), Ilala Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Novemba, 2024.
Rais Samia akizungumza na mmoja wa majeruhi hao hospitalini hapo
Rais Samia akizungumza na mmoja wa majeruhi hao hospitalini hapo