PICHA| Rais Samia ateta na bosi WHO Dodoma

DODOMA – Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Dk. Tedros Adhanom Ghebreyesus, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo Januari 20.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Dkt. Tedros Adhanom Ghebreyesus, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 20 Januari, 2025.

 

Advertisement

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Dkt. Tedros Adhanom Ghebreyesus akizungumza kwenye mkutano wa Waandishi wa Habari mara baada ya mazungumzo yake na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 20 Januari, 2025.
Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Dk. Tedros Adhanom Ghebreyesus Wazungumza na Waandishi wa Habari Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma, leo tarehe 20 Januari, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza kwenye mkutano wa Waandishi wa Habari mara baada ya mazungumzo yake na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Dkt. Tedros Adhanom Ghebreyesus, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 20 Januari, 2025.