Picha: Samia ashiriki maadhimisho mafunzo ya uongozi

DAR ES SALAAM. Rais wa Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan, akiwa kwenye Maadhimisho ya Miaka 10 tangu kuanza kwa mafunzo ya Uongozi kwa Wanawake Tanzania (Female Future Program) pamoja na Mahafali ya Wahitimu wa Awamu ya 10 ya Mafunzo hayo katika ukumbi wa The Super Dome, Masaki jijini Dar es Salaam leo Februari 21, 2025. (Picha na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu).

 

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button