Pulisic aula Milan

MSHAMBULIAJI Christian Pulisic amekamilisha uhamisho wake wa kujiunga na AC Milan akitokea Chelsea.

Milan watalipa ada kiasi cha €20M.

Mmarekani huyo atasaini mkataba wa miaka minne hadi Juni 2027.

Atapokea €4M kwa mwaka.

Habari Zifananazo

5 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Back to top button