DAR ES SALAAM: Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wahitimu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Kozi ya 12 kwa mwaka 2023/2024, viongozi pamoja na wageni mbalimbali katika Mahafali ya Chuo hicho Kunduchi Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Julai, 2024.