Rais Samia aongoza Kamati Kuu ya CCM Dodoma
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameongoza kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa kilichofanyika leo Jumanne Novemba, 22 2022 mjini Dodoma.