Rais Samia apewa tuzo AU

DAR ES SALAAM; Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akipokea Tuzo Maalum kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AU), Moussa Faki Mahamat, wakati wa Maadhimisho ya miaka 20 ya Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika (AU). Maadhimisho hayo yanafanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JICC), Dar es Salaam. (Picha na Ikulu).

Advertisement