Mpango maalum wa wastaafu wazinduliwa Dar

Dar es Salaam: Afisa mtendaji mkuu wa SanlamAllianz Life Insurance Julius Magabe, akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa bidhaa yao mpya ya Salama Plan inayolenga kuwahudumia wastaafu au  waajiriwa wanaokaribia kustaafu kutoka katika sekta binafsi, sekta za umma na hata wajasiriamali kuweza kustaafu wakiwa hawana mawazo juu ya kipato chao.

Tukio hili limeshuhudiwa na Mkurugenzi wa Biashara wa SanlamAllianz Tanzania, Kyenekiki Kyando (kulia) na Mkuu wa Kitengo cha Actuarial wa SanlamAllianz Tanzania, Mary Murya (kushoto).

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button