Rais Samia apiga kura uchaguzi s/mitaa

Rais Dk Samia Suluhu Hassan akipiga kura kwa ajili ya kuchagua viongozi kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mtaa katika kitongoji cha Sokoine, Chamwino mkoani Dodoma leo Novemba 27. (Picha na Ikulu Mawasiliano)