RAIS Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Longido, Marco Ng’umbi.
Taarifa ya uteunguzi imetolewa huda huu na Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Sharifa Nyanga.
Advertisement