Samia atengua uteuzi wa Katibu Mkuu Ikulu

#BREAKING: Rais wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan, ametengua uteuzi wa Kamishna Diwani Athumani Msuya, aliyemteua tarehe 03 Januari, 2023 kuwa Katibu Mkuu Ikulu.

Rais Dk Samia amemteua  Mululi Majula Mahendeka kuwa Katibu Mkuu Ikulu akichukuwa nafasi ya Kamishna Diwani Athman Msuya.

January 03,2023, Rais Samia Suluhu alimteua aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Tanzania, Kamishna Diwani Athumani Msuya kuwa Katibu Mkuu Ikulu akichukua nafasi ya Moses Kusiluka ambaye ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi.

Habari Zifananazo

Subscribe
Notify of
guest
0 Comments
Inline Feedbacks
View all comments
Back to top button
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x