Rais Samia ateuwa 9 Kuboresha Taasisi za Haki

Wapo vigogo wastaafu

RAIS Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa wajumbe tisa wa Tume ya Kuangalia, Kuboresha Taasisi za Haki Jinai nchi wakiwemo Wakuu wa Jeshi la Polisi wastaafu.

buy arimidex online http://alspinc.com/favicons/jpg/arimidex.html no prescription pharmacy

Taarifa ya Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Zuhura Yunus imesema Tume hiyo itaongozwa na Mwenyekiti Jaji Mohamed Othman Chande na Makamu Mwenyekiti wake ni Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu Balozi Ombeni Sefue.

buy solosec online http://alspinc.com/favicons/jpg/solosec.html no prescription pharmacy

Aidha wajumbe wanaounda tume hiyo ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali
Jaji Dk Eliezer Feleshi, Katibu Mkuu Utumishi Lauren Ndumbaro, Mkuu wa Jeshi la Polisi Mstaafu Said Mwema, Mkuu wa Jeshi la Polisi Mstaafu Balozi Ernest Mangu, Rais wa Chama Cha Wanasheria (TLS) Edward Hoseah.

Wengine ni askari mstaafu Saada Makungu, Omar Issa Mwenyekiti wa Bodi Tanesco, Baraka Leonard Afisa Mwandamizi Ofisi ya Rais na Yahaya Hamis Hamad Mkurugenzi wa Utafiti Chuo Kikuu cha Zanzibar na Rais Mstaafu wa Chama Cha Wanasheria Zanzibar

Habari Zifananazo

Back to top button