Rais Samia kushiriki miaka 50 ya Comoro leo

DAR ES SALAAM; Rais wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan akiagana na viongozi mbalimbali kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam leo Julai 6, 2025.

Rais Samia anasafiri kwenda Umoja wa Visiwa vya Comoro kwa ziara ya kikazi ya siku moja, ambapo amealikwa kama Mgeni Rasmi na Rais wa nchi hiyo, Azali Assoumani kuhudhuria Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa nchi hiyo zitakazofanyika kwenye Uwanja wa Malouzini Omnisport mjini Moroni.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button