RC afurahishwa Kiswahili kupandishwa Mlima Kilimajaro

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu ameipongeza Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa juhudi zake za kuendeleza lugha ya Kiswahili ikiwa ni pamoja na kupandisha bendera ya Kiswahili kilele cha Mlima Kilimanjaro.

Babu ametoa pongezi hizo wakati akiwapokea Mabalozi, wanajeshi, viongozi wa serikali pamoja na wananchi kutoka taasisi mbalimbali waliopanda Mlima Kilimanjaro kuadhimisha miaka 61 ya Uhuru wa Tanzania Bara.
Katika maadhimisho hayo, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia ilipandisha bendera ya kuhamasisha matumizi ya Kiswahili iliyokuwa na ujumbe, ‘Kiswahili Kileleni’.

“Kiswahili ni moja ya tunu ya Taifa na sisi kama Watanzania lazima tujivunie lugha yetu. Mabalozi wananafasi nzuri zaidi ya kutangaza Kiswahili chetu katika nchi wanazotuwakilisha hivyo watumie fursa hii kujionea vivutio vyetu ili wavitangaze vyema pamoja na lugha yetu ya Kiswahili,” alisema Babu.
Mkuu huyo wa Mkoa pia alisisitiza juu ya matumizi sahihi ya lugha ya Kiswahili badala ya kuchanganya Kiswahili na lugha zingine.

Kwa upande wake Seleman Chamshama mtumishi kutoka Idara ya Elimu Maalum, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia ambaye alishirikiana na mwenzake, Nestory Owano waliowezesha kufikisha bendera hiyo ya Kiswahili kileleni mwa Mlima Kilimanjaro amewashkuru viongozi wa wizara hiyo kuwapatia nafasi na heshima ya kuweka historia ya kupandisha kileleni bendera hiyo ya Kiswahili.

Amesema kuwa lengo la kupandisha bendera hiyo ya Kiswahili ni kuenzi juhudu za Baba wa Taifa, Hayati Mwal. Julius Nyerere katika aliyetamani kuona Kiswahili kikizungumzwa zaidi na matifa mbalimbali barani Afrika na duniani kote.

“Kwa kupandisha pia bendera hii ya Kiswahili ni kuenzi kazi kubwa inayofanywa na Rais wetu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye anakitangaza Kiswahili kwenye ziara zake mbalimbali za nje ya nchi hivyo hatuna budi kumuunga mkono kwa kila mtu kwa nafasi yake,” amesema Chamshama.

Naye Mratibu wa Elimu Kikanda na Kimataifa, Hilda Bukozo amewashukuru wadau wote walioshirikiana kufanikisha zoezi hilo na kuhamasisha ushirikiano zaidi katika kutangaza Kiswahili ndani nan je ya nchi.
Jumla ya wapanda mlima 200 walipanda mlima huo kuanzia tarehe Desemba 5 mpaka 10 kuadhimisha sherehe za miaka 61 ya Uhuru wa Tanzania Bara ambao husherehekewa kila ifikapo Desemba 9, kila mwaka.





Excellent write-up. I absolutely appreciate this site. Keep writing!
Everyone loves what you guys are usually up too. Such clever work and reporting! Keep up the wonderful works guys I’ve added you guys to my personal blogroll.
I think the admin of this site is truly working hard in favor of his web site, as here every data is quality based
information.
Howdy! I know this is somewhat off topic but I
was wondering which blog platform are you using for this website?
I’m getting tired of WordPress because I’ve had issues with hackers and I’m looking at alternatives for another platform.
I would be fantastic if you could point me in the direction of a good platform.
Usually I do not read article on blogs, however I wish to say that this write-up very compelled me to check out and do it! Your writing style has been surprised me. Thanks, quite great post.
Hello every one, here every one is sharing such experience, therefore it’s nice to read this webpage, and I used to visit this web site every day.
Hi there i am kavin, its my first time to commenting anywhere, when i read this article i thought i could also make comment due to this brilliant piece of writing.
Howdy! This is kind of off topic but I need some help from an established blog. Is it very difficult to set up your own blog? I’m not very techincal but I can figure things out pretty quick. I’m thinking about setting up my own but I’m not sure where to start. Do you have any ideas or suggestions? Appreciate it
Right away I am going away to do my breakfast, later than having my breakfast coming over again to read more news.
Hi there! I could have sworn I’ve been to this site before but after reading through some of the post I realized it’s new to me. Nonetheless, I’m definitely happy I found it and I’ll be bookmarking and checking back often!
Good blog you have got here.. It’s hard to find good quality writing like yours these days. I really appreciate individuals like you! Take care!!
I have been browsing online more than three hours today, yet I never found any interesting article like yours. It’s pretty worth enough for me. In my view, if all webmasters and bloggers made good content as you did, the web will be much more useful than ever before.
Nice post. I used to be checking continuously this blog and I am impressed! Extremely helpful information particularly the final phase 🙂 I maintain such information much. I used to be looking for this particular info for a long time. Thank you and best of luck.
I have been exploring for a little for any high-quality articles or weblog posts on this kind of house . Exploring in Yahoo I finally stumbled upon this site. Studying this information So i’m happy to convey that I have an incredibly good uncanny feeling I found out exactly what I needed. I so much for sure will make certain to don?t omit this site and give it a look regularly.