Watanzania wahitimu China watakiwa kuwa mabalozi wa nchi
CHINA: Balozi wa Tanzania nchini China, Dk. Suleiman Haji Suleiman, amewataka Watanzania wanaohitimu masomo yao katika vyuo mbalimbali nchini humo mwaka 2026, kuwa mabalozi wazuri wa Tanzania kwa kutumia maarifa, ujuzi na uzoefu walioupata katika kujiletea maendeleo binafsi na kuchangia maendeleo ya taifa wanaporejea nyumbani.
Balozi Dk. Suleiman ametoa wito huo wakati wa hafla maalumu ya kuwaaga wanafunzi wa Kitanzania wanaomaliza masomo yao nchini humo iliyoandaliwa na Ubalozi wa Tanzania kwa lengo la kuwapongeza na kuwapa nasaha kuhusu maisha baada ya kuhitimu.
“Ni muhimu kwenu kama vijana kutumia elimu mliyoipata kama nyenzo ya kuleta mabadiliko chanya katika jamii, kuibua na kutumia fursa za kiuchumi zilizopo nyumbani, pamoja na kuendelea kuitangaza vyema nchi yenu katika maeneo yote mtakayokuwa mkiyahudumia.
“Pamoja na mambo mengine, mnarejea nyumbani mkiwa mmebeba maarifa, ujuzi na uzoefu wa kimataifa. Ni wajibu wenu kuwa mabalozi wazuri wa Tanzania, kuishi katika maadili mema, kufanya kazi kwa bidii na kutumia elimu yenu kuleta maendeleo kwa taifa letu,” alisema.
Aidha, Balozi Dk. Suleiman ameahidi kutatua changamoto za wanafunzi wanaosoma nchini China kama vile; bima ya afya, vibali vya ukaazi na upatikanaji wa nafasi za mafunzo kwa vitendo ndani na nje ya China.
Kwa upande wake Mwenyekiti wa Wanafunzi wa Tanzania Beijing, Avitus Barnabas ameishukuru Ofisi ya Ubalozi kwa kuwafanyia hafla hiyo pamoja na nasaha kutoka kwa Balozi Dk. Suleima ambapo amesema ni heshima kubwa kupata nafasi ikiwamo ahadi ya Balozi kutatua baadhi ya changamoto wanazokumbana nazo wanafunzi wanaosoma nchini humo.
Hafla hiyo imehudhuriwa na wanafunzi 150 waliohitimu katika ngazi za Shahada ya Kwanza, Shahada ya Uzamili na Shahada ya Uzamivu katika fani mbalimbali ikiwemo Sayansi, Teknolojia, Tiba, Uhandisi wa Miundombinu, Mafuta na Gesi, Madini na Nishati ya Umeme na wageni kutoka nchi za Mauritania, Gambia, Congo, Kenya, Uganda, Namibia, Ufaransa, Morocco pamoja na wenyeji wao China.




I have earned and received $19,683 by working online from home. In previous month i have this income just by doing work for 2 hours maximum a day using my laptop. This job is just awesome and regular earning from this just great. Now everybody can now get this job and start making real money online just by follow instructions on this website………
Open This…. w-w-w-.-s-a-l-a-r-y-3-.-c-o-m please don’t copy ( – )
OMT’s supportive comments loopholes encourage growth ѕtate of mind,
aiding pupils love math ɑnd гeally feel influenced for tests.
Experience versatile knowing anytime, ɑnywhere tһrough OMT’s detailed
online е-learning platform, including endless access tߋ
video lessons and interactive tests.
Considered that mathematics plays ɑ critical role іn Singapore’ѕ economic development and progress, purchasing specialized math
tuition gears սp trainees ᴡith the analytical abilities
required tօ prosper in a competitive landscape.
Registering іn primary school school math tuition early fosters self-confidence, minimizing stress аnd anxiety
fⲟr PSLE takers ԝho deal ԝith high-stakes concerns оn speed, distance, and time.
By usіng extensive experiment previous О Level papers, tuition furnishes trainees with knowledge ɑnd the capability tօ
anticipate question patterns.
Ӏn an affordable Singaporean education ѕystem, junior college math tuition
gives trainees tһe side to accomplish һigh qualities necessaгy for university admissions.
Distinctly, OMT enhances tһe MOE curriculum
tһrough an exclusive program tһɑt incⅼudes real-tіme progression tracking
for tailored enhancement strategies.
Ꮐroup discussion forums in the platform ɑllow you ɡo over
with peers sіa, making cⅼear questions ɑnd boosting yoսr mathematics efficiency.
Ꮤith restricted coսrse timе in institutions, math
tuition prolongs finding out hօurs, impoгtant for understanding the considerable Singapoore
mathematics syllabus.
f8bet thương hiệu giải trí cùng worl cup 2026
Beşiktaş Kombi Su Kaçağı Tespiti Kırmadan tespit hizmeti çok profesyoneldi. https://southernhospitalityoftexas.com/