Samia ataka Watanzania kuchangamkia fursa

Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Watanzania kuchangamkia fursa mbalimbali zinazojitokeza, kwani fursa huja na kupotea kwa haraka.

Rais Samia amesema hayo leo Julai 14, 2024 wakati wa uapisho wa viongozi mbalimbali Ikulu, Dar es Salaam.

“Wakati sisi tunalumbana kuwa bandari apewe nani iende isiende nani apewe, wenzetu kwa kuona malumbano yetu mmeona wamekwenda kulekule na lilelile jumba lilowekwa bendera ya Tanzania limewekwa bendera ya jirani.

“Sasa Tanzania tumesusa sasa jirani wamekwenda kufanya nini? Na siku bunge letu hapa linasema kwamba niruhusu bandari iendeshwe siku ya pili, wenzetu wakasema nyie moja sisi zote zilizopo ziende kwenye sekta binafsi.

“Wenzetu wakakimbia kule kwenda kuwahi nafasi, kama wale wanalumbana njooni huku, sasa muone jinsi fursa zinavyokuja na kukimbia haraka haraka na jinsi wengine wanavyoweza kuzitumia haraka haraka,”amesema Rais Samia.

Habari Zifananazo

Subscribe
Notify of
guest
3 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Patricia S. Pyburn
Patricia S. Pyburn
2 months ago

Given that I was unemployed a year ago as a result of the terrible economy, it is amazing that I run a home-based business and make a healthy $60k each week. It is now my duty to promote goodwill and make these instructions tn-32 available to others after being gifted with them.
.
.
Detail Here——————————————>>> https://Fastinccome.blogspot.com/

BarbaraElms
BarbaraElms
2 months ago

Single Mom With 4 Kids Lost Her Job But Was Able To Stay On Top By Banking Continuously DOLLER 1500 Per Week With An Online Work She Found Over The Internet… 

Check The Details HERE….. https://onlineweb76.blogspot.com/

Last edited 2 months ago by BarbaraElms
Julia
Julia
2 months ago

Making an additional $15,000 per month from home by just performing copy and paste-style web work. I made $18,000 from this simple job at home. Nowadays, anyone may simply generate additional money online.
.
.
Detail Here—————————————————————>>>  http://Www.OnlineCash1.Com

Back to top button
3
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x