SENSA2022: Watoto katika mazingira magumu wahesabiwa Mara
ZOEZI la Sensa ya Watu na Makazi linalofanyika nchi nzima linaendelea mkoani Mara na kwamba makarani waliwaweza pia kuhesabu watoto wanaoishi katika mazingira magumu.