Serikali yaombwa kuimarisha uhusiano taasisi za vijana

DAR ES SALAAM: Serikali imetakiwa kuimarisha ushirikiano na taasisi zinazoongozwa na vijana ili kuongeza fursa za ajira, kukuza vipaji vya michezo na sanaa, pamoja na kuharakisha matumizi ya teknolojia na ujasiriamali miongoni mwa vijana nchini.
Wito huo umetolewa na Mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Inua Hub, Johnas Chami, wakati wa uzinduzi wa mashindano ya Inua Impact Cup jijini Dar es Salaam, akisema ushirikiano kati ya Serikali, sekta binafsi na mashirika yasiyo ya kiserikali ni muhimu katika kutatua changamoto zinazowakabili vijana.

Mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Inua Hub, Johnas Chami
Chami alisema Inua Hub ilianzishwa ili kuwawezesha vijana kupitia mafunzo ya kidijitali na ujasiriamali, lakini taasisi hiyo iligundua kuwa kuna kundi kubwa la vijana wenye vipaji vya michezo na sanaa ambao pia wanahitaji kuungwa mkono ili kufikia malengo yao.
Kutokana na hali hiyo, alisema wameanzisha Inua Impact Cup, mashindano yanayowakutanisha mashirika yasiyo ya kiserikali, balozi na wadau mbalimbali kupitia michezo ili kujenga ushirikiano na kubadilishana uzoefu.

Alisema tukio hilo limefanyika kwa mara ya kwanza nchini Tanzania baada ya kuanza nchini Portugal mwaka jana, huku likihusisha mashirika mbalimbali yanayotekeleza shughuli za maendeleo ya jamii, yakiwemo yanayopambana na matumizi ya dawa za kulevya.

Chami alisema zaidi ya mashirika 25 yalionesha nia ya kushiriki, lakini toleo la kwanza limefanyika kwa kiwango kidogo ili kupima mwitikio kabla ya kulipeleka katika mikoa mingine ya Tanzania kuanzia mwaka ujao.

Katika sekta ya michezo, alisema Inua Impact Cup inalenga kuwa kiungo cha kuwasaidia vijana wenye vipaji kujiunga na akademi na vilabu vya nje ya nchi kupitia ushirikiano wake na wadau mbalimbali wa kimataifa.
Alisisitiza kuwa uwekezaji kwa vijana unahitaji nguvu ya pamoja kutoka Serikalini, taasisi binafsi na wadau wa maendeleo ili kuhakikisha vipaji na ubunifu wa vijana vinachangia ukuaji wa uchumi wa taifa.

Wachezaji wa Timu ya Shadaka FC wakifurahia ubingwa katika mashindano ya INUA IMPACT CUP yaliyofanyika jana Dar es Salaam.
Naye, Ofisa wa Kitengo cha Ushirikiano na Mahusiano ya Nje wa Inua Hub, Farida Rashidi alisema lengo la mashindano ni kuwakutanisha taasisi za serikali na zisizo za kiserikali, kujenga ushirikiano pamoja na kuibua vipaji vya vijana katika michezo na maeneo mbalimbali ya ubunifu.
Akizungumza wakati wa mashindano hayo jijini Dar es Salaam, Farida Rashidi, alisema mpango huo umeanzishwa ili kujenga mahusiano bora kati ya taasisi mbalimbali huku ukiwapa vijana nafasi ya kuonyesha uwezo na vipaji vyao.

Ofisa wa Kitengo cha Ushirikiano na Mahusiano ya Nje wa Inua Hub, Farida Rashidi
Alisema kupitia jukwaa hilo, taasisi zinazoshiriki zinapata nafasi ya kufahamiana, kubadilishana uzoefu na kushirikiana katika kuwasaidia vijana pale wanapobaini kuwa wana vipaji vinavyoweza kuendelezwa.
“Leo tuko kwenye Inua Impact Cup yenye malengo ya kukutanisha taasisi zote za kiserikali na zisizo za kiserikali ambapo lengo letu kuu ni kujenga uhusiano mzuri kati ya taasisi zetu, kuwainua vijana, kuona vipaji vyao na kuwasaidia pale panapokuwa na uwezekano,” alisema.

Farida alisema toleo hilo la kwanza limehusisha jumla ya timu tisa ambazo zote zinawakilisha taasisi mbalimbali, zikiwemo Changamoto FC, Taefi, Asedeva Shadaka na zinginezo.
Alisema mafanikio ya mashindano hayo yameonesha umuhimu wa kuendelea na programu hiyo ili iwe jukwaa endelevu la kuwaunganisha wadau na kuwapa vijana nafasi zaidi za kuonyesha vipaji vyao.

“Hatutarajii hii kuwa mwisho hapa, tunatamani kuendelea zaidi na zaidi kwa sababu tunakuwa tunawainua vijana na kuwapa nafasi ya wao kuonyesha vipaji na ujuzi wao,” alisema.

Aidha, Farida alisema baada ya kubaini vijana wenye vipaji kupitia mashindano hayo, Inua Hub haitawaacha bali itawasaidia kuwaunganisha na watu au taasisi husika kulingana na vipaji walivyonavyo.

Alisema kijana mwenye kipaji cha michezo au ujuzi mwingine atasaidiwa kupata fursa ya kukiendeleza ili baadaye aweze kuchangia katika maendeleo ya jamii.
“Baada ya kugundua vijana wenye vipaji, sisi tunakuwa tunawasaidia kwa kuwakutanisha na watu husika kulingana na kipaji chake.

Hatutawaacha, tutakuwa nao mpaka pale watakapoweza kurudisha mchango wao kwenye jamii,” alisema.




Wow! After all I got a web site from where I be able to actually take valuable
data regarding my study and knowledge.
It’s actually a cool and helpful piece of info. I
am satisfied that you just shared this helpful info with us.
Please stay us informed like this. Thanks for sharing.
Thank you, I have just been searching for information about this
topic for a while and yours is the greatest I’ve found out so far.
But, what about the conclusion? Are you certain about the supply?
I think this is one of the most significant information for me.
And i am glad reading your article. But want to remark on some general
things, The web site style is ideal, the articles is really great : D.
Good job, cheers
Hello are using WordPress for your blog platform? I’m new to
the blog world but I’m trying to get started and create
my own. Do you require any html coding knowledge
to make your own blog? Any help would be greatly appreciated!
I could not refrain from commenting. Exceptionally well written!
Nice post, thanks for sharing!
Great article, very useful.
I learned something new today.
Good information, appreciate it.
Very helpful content, thanks!
OK9 nền tảng giải trí trực tuyến hàng đầu tại Việt Nam, Cung cấp đa dạng các loại sản phẩm như : cá cươc thể thao, slost, nổ hũ đổi thưởng…. Đăng ký tài khoản mới tặng tới 99k miễn phí trải nghịm
I like the valuable information you provide in your articles.
I will bookmark your weblog and test again right here regularly.
I am quite sure I’ll be told lots of new stuff right here!
Best of luck for the following!
Nice share! Ulasan ini sangat membantu saya dalam mengikuti perkembangan kompetisi musim ini.
Untuk teman-teman yang butuh referensi terpercaya mengenai **Jadwal Bola
Hari Ini**, jangan lupa kunjungi **ScoreArena**.
Fitur **Live Score Real Time** mereka sangat
stabil untuk memantau **Pertandingan Sepak Bola Dunia** di berbagai
liga. Sukses selalu untuk blognya! Kunjungi ScoreArena Sekarang
I’ll right away grasp your rss as I can not in finding your email subscription hyperlink
or e-newsletter service. Do you’ve any? Please let me realize so that I
may just subscribe. Thanks.
Hello, all the time i used to check weblog posts here in the early hours
in the daylight, as i like to gain knowledge
of more and more.
Have you ever thought about writing an ebook or guest authoring on other
blogs? I have a blog based on the same information you
discuss and would love to have you share some stories/information. I know my viewers would enjoy your work.
If you’re even remotely interested, feel free to shoot me an e mail.
I always used to read post in news papers but now as I am a user of net therefore from now
I am using net for content, thanks to web.
Hey! This is my first comment here so I just wanted to give a
quick shout out and say I genuinely enjoy reading through
your articles. Can you recommend any other blogs/websites/forums
that cover the same topics? Thanks for your time!
When I originally left a comment I appear to have clicked on the -Notify me when new comments
are added- checkbox and now every time a comment is
added I get four emails with the exact same comment.
Perhaps there is a means you can remove me from that
service? Kudos!
It’s the best time to make some plans for the future and it’s
time to be happy. I’ve read this post and if I could I
desire to suggest you few interesting things or tips. Maybe you can write next articles referring to this article.
I wish to read even more things about it!
Hi, everything is going sound here and ofcourse every one is sharing data, that’s in fact excellent, keep
up writing.
I get paid more than $120 to $130 per hour for working online. I heard about this job 3 months ago and after joining this i have earned easily $15k from this without having online working skills.
This is what I do….. https://www.work27.info
I every time spent my half an hour to read this web site’s articles or reviews
everyday along with a cup of coffee.
Hello i am kavin, its my first occasion to commenting anywhere, when i
read this piece of writing i thought i could also make comment due
to this brilliant post.
obviously like your web site however you have to test the spelling on several of your posts.
Several of them are rife with spelling problems and I to
find it very bothersome to inform the truth nevertheless I’ll surely
come back again.
I couldn’t refrain from commenting. Well written!
Thanks for sharing your thoughts about . Regards
This design is incredible! You certainly know how to keep a reader entertained.
Between your wit and your videos, I was almost moved to
start my own blog (well, almost…HaHa!)
Great job. I really loved what you had to say, and more than that,
how you presented it. Too cool!
Hi, this weekend is fastidious in favor of me, as this moment i
am reading this enormous informative paragraph here at my house.
Hey I know this is off topic but I was wondering if you knew of any widgets I could add to my blog
that automatically tweet my newest twitter updates. I’ve been looking for a plug-in like this for quite some time and was hoping maybe you would have some experience with something like
this. Please let me know if you run into anything.
I truly enjoy reading your blog and I look forward to your
new updates.
I like the helpful info you provide in your articles.
I’ll bookmark your weblog and check again here regularly.
I am quite sure I will learn a lot of new stuff right here!
Good luck for the next!
Good article. I will be facing many of these issues as well..
Hello to all, how is the whole thing, I think every one is getting
more from this website, and your views are pleasant for new people.
whoah this weblog is fantastic i like studying your articles.
Stay up the good work! You understand, a lot of people are searching around for this info,
you can aid them greatly.
When someone writes an article he/she maintains the image of a user in his/her brain that how a user can understand
it. Thus that’s why this article is amazing. Thanks!
This is a topic which is near to my heart… Thank you! Where are your contact details though?
I do consider all the ideas you’ve presented on your post. They’re really convincing and can certainly work.
Nonetheless, the posts are very brief for novices. Could you
please lengthen them a bit from subsequent time? Thank you for the post.
I got this web site from my buddy who informed me regarding this web page and at the moment this time I am visiting this website and reading very informative articles or reviews at this place.
Hello, I enjoy reading all of your post.
I wanted to write a little comment to support you.
I absolutely love your blog.. Great colors & theme. Did you build this site yourself?
Please reply back as I’m hoping to create my very own site
and would love to find out where you got this from or exactly what the
theme is named. Many thanks!
Hi, for all time i used to check webpage posts here in the early hours in the morning, as
i love to learn more and more.
Greetings! Very useful advice in this particular post! It is the little changes that make the greatest changes.
Thanks a lot for sharing!
I am sure this paragraph has touched all the internet
users, its really really good post on building up new weblog.
An outstanding share! I’ve just forwarded this onto a co-worker who had been doing a little research
on this. And he actually ordered me breakfast simply because I found it for him…
lol. So allow me to reword this…. Thank YOU for the meal!!
But yeah, thanx for spending time to talk about this matter here on your blog.
I know this site offers quality based content and other stuff, is there
any other website which provides these data in quality?
Howdy! I could have sworn I’ve been to this website before
but after browsing through some of the post I realized it’s new to me.
Nonetheless, I’m definitely delighted I found it and I’ll be book-marking and checking back frequently!
Remarkable! Its truly remarkable paragraph,
I have got much clear idea concerning from this paragraph.
Good post. I learn something totally new and challenging on blogs I stumbleupon every day.
It will always be interesting to read content from other writers and practice a
little something from other web sites.
I’m gone to say to my little brother, that he should also go to see this weblog on regular basis to get updated from newest news update.
Someone necessarily lend a hand to make severely articles I would state.
This is the very first time I frequented your website
page and to this point? I amazed with the analysis you made to
create this actual submit incredible. Excellent job!
After I originally left a comment I appear to have clicked the -Notify me when new comments are added- checkbox and now every time a
comment is added I recieve four emails with the
same comment. Perhaps there is a way you can remove me from that service?
Kudos!
K1Game
is widely recognized as Pakistan’s
most trusted
real money game app,
offering a diverse collection of
rewarding
casino games.
Real money players
prefer K1 Game
for its instant withdrawals and fair gameplay.
Good day! Do you use Twitter? I’d like to follow you if that
would be okay. I’m definitely enjoying your blog and look
forward to new updates.
This post is worth everyone’s attention. Where can I find out more?
I seriously love your blog.. Great colors & theme.
Did you create this amazing site yourself? Please reply back as I’m
trying to create my own blog and want to find out
where you got this from or exactly what the theme is called.
Kudos!
Great info. Lucky me I ran across your website by accident (stumbleupon).
I have book-marked it for later!
Hello, bạn chia sẻ tuyệt vời rồi! Tôi sẽ giới thiệu nhà cái VIPWIN5 cho bạn bè
mình. Mình rất chắc anh em chắc sẽ rất thích vì uy
tín.
Website: vipwin
What’s up to every , as I am truly eager of reading
this weblog’s post to be updated daily. It consists of fastidious material.
Very informative article. Businesses that actively listen to customer feedback often build stronger relationships with
their customers.
This website truly has all of the information I wanted about this subject and didn’t
know who to ask.
Every weekend i used to pay a visit this website, for the
reason that i wish for enjoyment, since this this web page conations truly good
funny material too.
I’d like to thank you for the efforts you have put in penning this site.
I really hope to check out the same high-grade
content from you later on as well. In fact, your creative writing abilities has encouraged
me to get my own website now 😉
Chào, nhà cái UU88 đang là sân chơi hay với trò chơi phong phú.
Mình thích nổ hũ ở đây. Nạp rút nhanh lắm,
anh em đang tìm nhà cái thì thử đi!
uu88n org
If you are going for best contents like me, just pay a quick visit this site daily
since it offers quality contents, thanks
Excellent pieces. Keep posting such kind of information on your
site. Im really impressed by your site.
Hi there, You have done an incredible job. I will definitely digg it and personally suggest
to my friends. I am confident they’ll be benefited from this website.
Hello colleagues, its great article concerning cultureand fully explained, keep it up all
the time.
Great article. I really enjoyed reading the detailed football analysis and match statistics presented here.
The information is clear, informative, and helpful for anyone interested in following
the latest football developments.
It’s remarkable to visit this web page and reading the views
of all mates about this paragraph, while I am also zealous of getting know-how.
Chào anh em, VIPWINZ.net đang là sân chơi uy tín rất đáng thử.
Trò chơi đa dạng từ casino, thể thao đến nổ hũ.
Khuyến mãi hay lắm, anh em nên thử ngay!Website:https://vipwinz.net/
Hello there! Do you know if they make any plugins to help with Search Engine Optimization? I’m trying to get my blog to rank for some targeted keywords but
I’m not seeing very good gains. If you know of any please share.
Thank you!
An intriguing discussion is definitely worth comment.
I believe that you need to write more on this subject matter,
it may not be a taboo matter but usually people don’t discuss these subjects.
To the next! Many thanks!!
I’ve been surfing online more than 2 hours today,
yet I never found any interesting article like yours.
It is pretty worth enough for me. In my opinion, if all webmasters and bloggers made
good content as you did, the web will be a lot more useful than ever before.
WOW just what I was looking for. Came here by searching for sex trẻ em 16+
Good site you’ve got here.. It’s hard to find excellent
writing like yours nowadays. I seriously appreciate people like you!
Take care!!
In fact when someone doesn’t be aware of then its up to other
users that they will help, so here it takes place.
Das Thema wurde sehr gut beschrieben. Ich komme gerne wieder vorbei.
Also visit my webpage Sextreffen
I loved as much as you will receive carried out right here.
The sketch is attractive, your authored subject matter stylish.
nonetheless, you command get bought an shakiness over that you wish be delivering the following.
unwell unquestionably come more formerly again as exactly the same nearly a lot often inside case you shield this hike.
Chào anh em, nhà cái VIPWIN đang là sân chơi uy tín với giao diện hiện đại.
Trò chơi đa dạng từ thể thao, nạp rút nhanh.
Mình đang chơi ổn định, ai đang tìm nhà cái thì nên thử nhé!Website: VIP WIN
It’s very easy to find out any matter on web as compared
to textbooks, as I found this piece of writing at this web
page.
Have you ever considered publishing an ebook or guest authoring on other websites?
I have a blog centered on the same ideas you discuss and would really like to have
you share some stories/information. I know my viewers would value
your work. If you are even remotely interested, feel free to send me an e-mail.
Hi there friends, its fantastic post regarding educationand entirely defined, keep it up all the time.
Howdy this is kinda of off topic but I was wanting to know
if blogs use WYSIWYG editors or if you have to manually code with HTML.
I’m starting a blog soon but have no coding expertise so I wanted to get advice from someone with
experience. Any help would be greatly appreciated!
I couldn’t resist commenting. Perfectly written!
Hey there would you mind stating which blog platform
you’re using? I’m planning to start my own blog soon but I’m having a hard time choosing between BlogEngine/Wordpress/B2evolution and Drupal.
The reason I ask is because your design seems different then most blogs and I’m
looking for something completely unique.
P.S My apologies for getting off-topic but I had to ask!
I blog frequently and I really appreciate your content.
Your article has truly peaked my interest. I will take a note of your website
and keep checking for new information about once a week.
I subscribed to your Feed too.
I’ve been browsing online more than three hours today,
yet I never found any interesting article like yours.
It is pretty worth enough for me. In my view, if all website owners and bloggers made good content as you did, the net will be
much more useful than ever before.
Howdy! Do you know if they make any plugins to help with
Search Engine Optimization? I’m trying to get
my blog to rank for some targeted keywords but I’m not seeing very
good success. If you know of any please share. Thanks!
What i don’t understood is if truth be told how you’re not really much more neatly-liked than you
might be now. You are so intelligent. You realize thus considerably in relation to this topic, made me
for my part imagine it from so many numerous angles. Its like
women and men don’t seem to be involved except it’s something to do with Girl gaga!
Your own stuffs outstanding. Always maintain it up!
You actually make it seem really easy together with your presentation however
I in finding this matter to be really something which I
believe I might never understand. It sort of feels
too complex and very extensive for me. I am having a look forward for
your subsequent put up, I’ll try to get the grasp of it!
I like it when individuals come together and share views.
Great website, stick with it!
Excellent post. I am facing many of these issues as well..
If some one needs to be updated with most up-to-date technologies
then he must be pay a quick visit this web site and be up to date
daily.
Cool blog! Is your theme custom made or did you download it from somewhere?
A theme like yours with a few simple adjustements would really make my blog jump out.
Please let me know where you got your design. With thanks
Article writing is also a fun, if you be familiar with after that you can write or else it is difficult to write.
Look into my site; kalkulator mamie strona
Your mode of describing all in this article is
truly nice, every one be capable of easily be aware of it,
Thanks a lot.
If you are going for finest contents like me, simply visit this web site
everyday as it presents feature contents, thanks
I will immediately take hold of your rss as I can not to find your email subscription hyperlink
or e-newsletter service. Do you have any?
Kindly let me realize in order that I could subscribe. Thanks.
An impressive share! I have just forwarded this onto a coworker who had
been conducting a little homework on this.
And he actually bought me lunch due to the fact that I stumbled
upon it for him… lol. So allow me to reword this….
Thanks for the meal!! But yeah, thanks for spending the time to talk
about this issue here on your internet site.
If you would like to get much from this piece of writing then you have to apply these strategies to your won blog.
deniz
Wow! After all I got a website from where I be capable of in fact get useful
facts regarding my study and knowledge.