Sh bilioni 15 zanufaisha wakulima kila mwaka

DAR E SALAAM: ZAIDI ya Sh bilioni 15 zinatolewa kila mwaka kwa ajili ya kuwasaidia wakulima zaidi ya 600 nchi nzima.
Lengo ni kuendeleza kilimo cha mazao yanayohitajika kwa ajili ya kuzalisha bidhaa za pombe zilizo chini serengeti ikiwa ni katika kusaidia kukuza sekta ya kilimo na biashara.
Mkurugenzi wa Mtendaji wa SBL, Obinna Anyalebechi pamoja na Juanitha Mramba kutoka SBL Tanzania wamesema hatua ya kuwawezeaha wakulima inakwenda sanjari na kuanzisha viwanda vya bia ikiwemo bia ya serengeti inatokana na matunda ya tufaa ikiwa ni utekelezaji wa dira ya 2050 katika upande wa viwanda na ajira m
Aidha, Mramba amesema pa moja na hatua inayopigwa ya kuendeleza viwanda na wakulima bado soko la pombe nchini linakabiliwa na changamoto ya uwepo wa bia zisizo halali ambazo si tu zinaathiri mapato ya kampuni bali mapato ya Taifa pia
Naye Rispa Khatibu pamoja na Flaviana Matata wakiaungumzia bidhaa hiyo wameeleza kuwa imelenga kusaidia kupunguza uagizaji wa bidhaa za bia kutoka nje hasa kipindi hiki huku ikiwa imelenga kutangaza bidhaa za kitanzania kimataifa .




I am making a real GOOD MONEY (300$ to 400$ / hr )online from my laptop. Last month I GOT check of nearly 18,000$, this online work is simple and straightforward, don’t have to go OFFICE, Its home online job. At that point this work opportunity is for you.if you interested.simply give it a shot on the accompanying site….Simply go to the BELOW SITE and start your work…
This is what I do…. http://www.giftpay7.vip
thisis a fantastic article, really nice created, i enjoy reading it, i will be back to check out for latest update, keep up the good work and applause. yandaz.com