BORUSSIA Dortmund leo inaikaribisha Bayern Munich kwenye uwanja wa nyumbani wa Signal Iduna katika ‘dabi’ ya Ujerumani ukiwa mchezo wa Ligi Kuu ya Bundesliga.
Bayern inaongoza Bundesliga ikiwa na pointi 29 baada ya michezo 11 wakati Dortmund ipo nafasi ya tano ikiwa na pointi 19.
Mechi nyingine za Bundesliga pamoja na ligi nyingine nne bora ulaya leo ni kama ifuatavyo:
BUNDESLIGA
Augsburg vs VfL Bochum
Freiburg vs Borussia M’gladbach
RB Leipzig vs Wolfsburg
Union Berlin vs Bayer Leverkusen
Werder Bremen VfB Stuttgart
PREMIER LEAGUE
Brentford vs Leicester City
Crystal Palace vs Newcastle United
Nottingham Forest vs Ipswich Town
Wolves vs Bournemouth
West Ham United vs Arsenal
LALIGA
Barcelona vs Las Palmas
Deportivo Alaves vs Laganes
Espanyol vs Celta Vigo
Real Valladolid vs Atletico Madrid
SERIE A
Como 1907 vs Monza
AC Milan vs Empoli
Bologna vs Venezia
LIGUE 1
Rennes vs Saint-Etienne
Brest vs Strasbourg
Paris Saint-Germain vs Nantes