Simba hawataki mchezo Misri
CAIRO, Misri; Baadhi ya wachezaji wa Simba ya Dar es Salaam wakijifua leo Julai 10, 2024, wakiwa nchini Misri kujiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara na michuano ya kimataifa. (Picha na mtandao wa Simba).