Simba Queens ya 3 Ngao ya Jamii

TIMU ya Simba Queens imeshika nafasi ya tatu katika michuano ya Ngao ya Jamii 2024 baada a kuifunga Ceasaa Queens mabao 4-0. Mchezo huo wa kusaka mshindi wa tatu umefanyika kwenye uwanja wa KMC, Dar es Salaam